top of page

Acerca de

Kuhusu Sisi

Ulumislamiyah ni mkusanyiko wa ndugu zetu wa Kiislamu waliojikusanya kwa ajili ya kuinufaisha jamii ya Kiislamu duniani kwa mafundisho ya dini kupitia njia za mtandao.

Ulumislamiyah imejifunga kikamilifu na Qur’aan na Sunnah kwa ufahamu wa Masahaba, Maimamu wa karne tatu bora za mwanzo, na wale wanaowafuata kwa wema katika kutekeleza harakati zake.

Ulumislamiyah imejikita katika kuelimisha jamii kupitia njia za mtandao, kwa kuhakikisha kunapatikana Wahadhiri na Wadarisishaji wanaotegemewa kutoka pembe zote za dunia.

Tovuti ya Ulumislamiyah itapokea mada, mafundisho na makala ambazo zitapitiwa na kuthibitishwa, kisha kuwekwa kwenye tovuti ili ziwanufaishe Waislamu watakaotembelea tovuti hii.

bottom of page